Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
00:23 uko gud pal?00:00
00:23 uko gud pal?00:00
Hey lady mzima ww?
Hi uko gud?
Duh!ningendako kokote ulipo ujumbe wangu ulifika lakini nazani breakfast ya asubuhi ilikuwa poa sana.
Vp dude
Gud tu dude naona uko busy hatari?
Kweli mzee, mambo yamekaba kinoma. Ila sio kesi tutagumiana hivyo hivyo once time ikipatikana.Gud tu dude naona uko busy hatari?

simiss naona umeamua kwenda kujirusha samaki samaki leo.
Kweli kabisa race ndio imeanza sasa malengo yanatakiwa yatimie kabla mwaka haujaisha.Kweli mzee, mambo yamekaba kinoma. Ila sio kesi tutagumiana hivyo hivyo once time ikipatikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mazee, lazima tuwajibike ili mwisho wa siku akina Hamid wasitudharauKweli kabisa race ndio imeanza sasa malengo yanatakiwa yatimie kabla mwaka haujaisha.
Hapo ukienda Hamida mbona unampatia hapo hapo tu.
Aah kabisa heshima inatakiwa ijengwe la sihivyo dharau hazitaisha kabisa.Kweli mazee, lazima tuwajibike ili mwisho wa siku akina Hamid wasitudharau
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa yeye si tayari ana Hamida wake?Hapo ukienda Hamida mbona unampatia hapo hapo tu.
That's whats up niggah. Nimekuona kwenye mambo yako yaleeee mwenezi.Aah kabisa heshima inatakiwa ijengwe la sihivyo dharau hazitaisha kabisa.

nani kasema Hamida wa kumuekea guarantee muda wowote anakutransform unakuwa kambale.nani kasema Hamida wa kumuekea guarantee muda wowote anakutransform unakuwa kambale.



Hamida si wa mchezo mchezo ati?That's whats up niggah. Nimekuona kwenye mambo yako yaleeee mwenezi.
Sent using Jamii Forums mobile app

cut the crap, nataka nikuchukulie form ya uraisi kabisa unasemaje?