Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
mm nimekilowanisha maji makusudi tu nataka kikauke ndio nilipie kodi.ha ha ha huu ni muda wa kulipa kodi ya kitanda mkuu
mm nimekilowanisha maji makusudi tu nataka kikauke ndio nilipie kodi.ha ha ha huu ni muda wa kulipa kodi ya kitanda mkuu
Nipo kwa mangi napiga machinyango adoado naisubiri saa tisa[emoji38][emoji38][emoji38] basi sababu ushaipata ukiwa humu.
Nimekuelewa mbona ndio maana nikasema ni coincidence tu nakutananazo tu [emoji4][emoji4] nikatibu muenezi tu mm.Soma vizuri nilichoandika. Kwamba ikirushwa thread inayotaja neno chaputa mzee tayari ushafika.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umetisha mzee. NakusupportNimekuelewa mbona ndio maana nikasema ni coincidence tu nakutananazo tu [emoji4][emoji4] nikatibu mueneni tu mm.
Tupo pamoja arifu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] support sitaki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umetisha mzee. Nakusupport
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka nini sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] support sitaki.
mm ndio natakiwa kukupa support ww kwa juhudi zako ulizozifanya nje huko mpaka mnawekewa posters za kutoruhusu mambo muda wa kazi [emoji23]
Unazani nani atabaki mm ikifika saa 8 nalala mzee wangu.Oya nawaachieni lindo. Nina board sasa. Masaa zaidi ya 15 naenda kuelea angani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mida ya wanga hii mzee[emoji116][emoji116]Kwahiyo mmeamua nikeshe peke yangu
02:33