JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Acha mambo yako corona itoke wapi bhana pambana hayo mafua yaishe babu.
Mzee baba jana nimekesha. Halafu nilikuwa nina safari saa 11. Kwa ajili ya mafua nikalala mapema. Ebana kushtuka saa 4. Sijalala tena muda wa kwenda airport. Naogopa hata kukaa karibu na watu wasije sema nitawaambukiza Corona virus.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂 piga mask tu mzee wangu 😷 alafu unafanya maajabu yako tu unafeli wapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] piga mask tu mzee wangu [emoji40] alafu unafanya maajabu yako tu unafeli wapi?
Hata hizo mask nazitolea wapi. Nina tissue tu hapa nikitaka kupiga chafya ndio natumia. Kesho job lazima wanikimbie. Na boss wangu anafyopenda kunipiga mabusu lazima aniletee lawama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni afadhali umekuwa ukweli. Ila unapitwa na mengi.
[emoji23][emoji23][emoji23] eti nikuachie ww, mm kama mm situmii kilevi chochote kabisa yangu maji na juice tu hata soda sipendi.
20200211_152302.jpeg
20200211_152819.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom