JamiiForums Usiku wa manane
Anza aisee yani mimi kidogo sasa hivi nimeiva nadhani nitaingia hata kwenye timu ya chuo miezi michache ijayo japo competition ni kubwa sana.
Na bahati mbaya mtanzania niko peke yangu
Pambana dude piga pushapu nyingi tu nyanyua vyuma vya kilo 5 vile vitakusaidia Guard shooting ndio kilakitu weka juhudi tu humo kwani coach weni ni mzungu?
 
Back
Top Bottom