Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Wapi saiz ww!Wadau niwatakie lindo jema ....
Kuna mtoto mzuri nimempa, ila namba tumebadilishana.kukaa hapo au hizo shot ulizopiga?




Hapa ulipi chochote mzee. Unakunywa na kula as much as you can. No limitkukaa hapo au hizo shot ulizopiga?
Japan bado hakuna madhara japo wenzetu raia wa japan wnaoishi china wameathirika na corona mkuu
Mwenyewe nakwenda na vitu laini tu itakuwa wwHiki kichwa sio GB ni TB acha uwoga naweza handle hilo balaa mzee![]()
Situmii dawa, inakwisha yenyewe. Kesho nitakuwa poa kiasi.Treatment yake huwa mpaka upone inachukua siku ngapi kwani?
Poleni sana mkuuJapan bado hakuna madhara japo wenzetu raia wa japan wnaoishi china wameathirika na corona mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah ndio nilitaka nishangae unalalamika vp kumbe umetaka kujimwambafy basi tulia acha kulia lia




alichopewa huko ndio tatizo.Unafikiri nalialia mkuu. Nimempa kiroho safi. Ni muhudu wa hapa lounge. Kasema atakuja kunitembelea weekend moja. Nina hakika nitampikia kile chakula pendwa. Pia anapenda kutalii Africa. Nimemuahidi nitampelekea.Aah ndio nilitaka nishangae unalalamika vp kumbe umetaka kujimwambafy basi tulia acha kulia lia![]()
Hapa ulipi chochote mzee. Unakunywa na kula as much as you can. No limit
Sent using Jamii Forums mobile app

hizo show wanaweza ngozi nyeupe tu lakini sio nyeusi umpe freeboat utalia nakuambia kila kitu atakunywa na kutafuta.Sisi tutabaki na assumptions tu. Ila muhusika ndio anajua ukweli.alichopewa huko ndio tatizo.
Njoo upige yokzuna hukuMwenyewe nakwenda na vitu laini tu itakuwa ww View attachment 1354880
Sent using Jamii Forums mobile app

Gud news kama itakwisha kesho.
Yupo kwenye pillow talk saiz

Kama ningekuwa najimudu, hapa ningerudi utotoni. Ila unapiga kistaarabu.hizo show wanaweza ngozi nyeupe tu lakini sio nyeusi umpe freeboat utalia nakuambia kila kitu atakunywa na kutafuta.