simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Karibu mamaaaLindoni 00:12hrs
Karibu mamaaaLindoni 00:12hrs
Nipo.Jukwaa limekimbiwa, mnakwama wapi wakuu? Mpo guard Nyarugusu au Nduta
Sent using OPPO Mobile Phone
Wanaanza sa 10 usiku. Mpaka sas 10 jioniKwahiyo ulikuwa mkesha siku hiyo hapo?
Kamata
hiyo.Aah! Ilikuwa ni baala kumbe 24hrs kiliwaka disco la yesu.Wanaanza sa 10 usiku. Mpaka sas 10 jioni
I'm not interested with those Mikutano things..Aah! Ilikuwa ni baala kumbe 24hrs kiliwaka disco la yesu.
Karibu dullyKwa mara ya Kwanza ktk Jukwa hiili....
mm huwa napenda maana nachukua hapo Bible verse kadha na kuongeza upana wa uelewa wa Bible pia.I'm not interested with those Mikutano things..
Karibu dully
Wanahubiri miujiza tumm huwa napenda maana nachukua hapo Bible verse kadha na kuongeza upana wa uelewa wa Bible pia.
Futa hiyo tafsiri panua ubongo wako huo sio kweli ulichosema.Wanahubiri miujiza tu
Kwema mkuu.. chukua tochi na kahawa.. usiku bado kabisaaAHSANTEEE, kwema?
Unalazimisha nifute wakati mm nilikua nawasikia mwanzo mwisho wanavyoongea.Futa hiyo tafsiri panua ubongo wako huo sio kweli ulichosema.
Unamkaribisha kilaini hivyo kama aingia maghetoni bhana mpe dhana za ulinzi au kama vp pushapu za 1500 ata kwata ikibidi umchangamshe.Karibu dully
Unalazimisha nifute wakati mm nilikua nawasikia mwanzo mwisho wanavyoongea.


mm sijawahi kukutana na hiko kitu mikutano yote nilioudhuria kuhubiri miujiza tu.Mkuu yaaan mimi ndo kwaanzaaa.....Kwema mkuu.. chukua tochi na kahawa.. usiku bado kabisaa
Nitawasikiliza kama radio maria na zingine za rc zikiwa hazipo..mm sijawahi kukutana na hiko kitu mikutano yote nilioudhuria kuhubiri miujiza tu.