ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,110
Itakuwa nimemfananisha na yule jamaa kwenye game of thrones alikuwa kama na magic power flan,alimwambia arya make three wishes.....
Ni legend of the seeker mzee wangu alikuwa anitwa Darken Rahl aliwatesa sana wakina Richard na mother confessior.