Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Mbona ndio kumekucha sasa.Karibu sana....0118,nw.
Mbona ndio kumekucha sasa.Karibu sana....0118,nw.
we miaka miwili ijayo ndio inakuwa olderbloodSafi san mkuu, bado haijafikia huko kwenye oldblood mpaka miaka miwili ijayo.

Same too you Guard.01:21 HRS IN DAR
GOOD NITE EVERY GUARD
Bado hujalala.?
Nice words mwisho ni nikakumbuka haka kanyimbo kwenye Rush Hour movie ya Jack Chan na Chirs Turker
Sio vibaya ukitutembelea siku moja moja kama hv wanachi wako.Yeah!
we miaka miwili ijayo ndio inakuwa olderblood![]()
Nice words mwisho ni nikakumbuka haka kanyimbo kwenye Rush Hour movie ya Jack Chan na Chirs Turker
"war what is it good for, absolutely nothing"
Mkuu acha kuogopa kufa
bado kabisa kijana ww ujue.
bado kabisa kijana ww ujue.
Huwa sipendi sana kuangalia taarifa ya habari lakini huwa nikiwa o'level nilikuwa napenda sana kwenda kwa rafiki yangu ambaye alikuwa hakai mbali sana na nyumbani.Yes, there's nothing good with wars.
We have to choose to be at peace.
Kila mtu anapenda kwenda mbinguni lakini hataki kufa acha hizi mambo ujueMkuu acha kuogopa kufa
maana sijaacha atakizazi mm bado.Huwa sipendi sana kuangalia taarifa ya habari lakini huwa nikiwa o'level nilikuwa napenda sana kwenda kwa rafiki yangu ambaye alikuwa hakai mbali sana na nyumbani.
Basi kila siku nilikuwa nikienda namkuta mzee wake anaangalia BBC au Algezira basi nilikuwa naona waandishi wakiripot hizo taarifa wakiwa vitani acha tu yaan camera man anachukua huku ardhi inatetemeka tu mabomu hayo vita acha kabisa tusikieni tu.
Ni legend of the seeker mzee wangu alikuwa anitwa Darken Rahl aliwatesa sana wakina Richard na mother confessior.Huyo jamaa kwenye avator yako alikuwa ananikosha sana kwenye game of thrones
Kila mtu anapenda kwenda mbinguni lakini hataki kufa acha hizi mambo ujuemaana sijaacha atakizazi mm bado.
Haya mambo ujue mkishayaanza mpaka mje mkaemezani muongee kuhusu peace washapotea watu wengi sana.Hatari sana Mkuu
Fanya mpango mkuu unafeli wapi,mpaka Tausi amekushinda


dah umenichekesha ujue, huyo bibie wa kubeba huo mzigo unamtolea wapi saiz ujue huo mtihani!