Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
[emoji23][emoji23][emoji23] chooni utahusika sana kwenye hizo root usiku.Ushiriki wenu ni muhimu sana katika kuhakikisha hizi chupa zinaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] chooni utahusika sana kwenye hizo root usiku.Ushiriki wenu ni muhimu sana katika kuhakikisha hizi chupa zinaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati nzuri ni hapo kwa hapo[emoji23][emoji23][emoji23] chooni utahusika sana kwenye hizo root usiku.
Km kawa mkuu multipurposeBond upo BBC kumbe huko.
Saiz mzee wangu jogoo anawika soon tu unaingia lindo.Nimekuja lindo
Saa 0430 nakabidhi... hahahahaSaiz mzee wangu jogoo anawika soon tu unaingia lindo.
Aah mm hizo habari za siasa ndio zimenishinda kabisa kufuatilia.Km kawa mkuu multipurpose
Saa 0430 nakabidhi... hahahaha
Hata zile hard core zipoHii laini mkuu ila ntaimba nayo [emoji3][emoji3]
Kuna watu hizo hen wanasukutulia hata uweke bucket ngapi unajisumbua tu watu wanataka spirit tu.
Saa hizi supu.
Hahahaha inaendana na konyag ndogo
Noma sanaKuna watu hizo hen wanasukutulia hata uweke bucket ngapi unajisumbua tu watu wanataka spirit tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] uroho mbaya sana dah popo kachemshwa huku anatabasamu tu.Saa hizi supu.
Hiyo inaendana na yokozuna mixer na bananaHahahaha inaendana na konyag ndogo
Wahuni sio watu wazuri[emoji23][emoji23][emoji23] uroho mbaya sana dah popo kachemshwa huku anatabasamu tu.