Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Karibu mzee[emoji23][emoji23][emoji23] nina ndugu zangu duchess na sina shobo nao ww unataka umwambie mwana anifanyie booking huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mzee[emoji23][emoji23][emoji23] nina ndugu zangu duchess na sina shobo nao ww unataka umwambie mwana anifanyie booking huko.
Mabeberu tena[emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Ha haamm ukitaka unione nakula niweupset tu muda wote nakula tu ovyo.
Acha nibaki bongo land mm heka heka siwezi mm [emoji23][emoji23][emoji23] dah nakumbuka heka heka zangu mpaka na cheka mabalaa acheni tu.
Safi karibu mwananchi.Nawasalimia ndugu walinzi
Mzee una majanga.. em vuta mtoto wa kiluguru akupoze machungu maana hadi saa hii upo lonely na shuka tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mwaka juzi nilitaka kuoa ila kilichotolea daaah[emoji124][emoji124][emoji124]wacha nivute shuka nilale.
Sent using OPPO Mobile Phone
sasa ww unajua hilo ww unawaza tumbo tu huna kingine ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna menyu af kuna mnuso
Poa poa mkuu na wengine tunaangusha si muda mrefu .. usiku mwema mkuuMimi nilkuwa napita tu ngoja niwaage wadau.
Usiku mwema.
Nimepita niwape salamuSafi karibu mwananchi.
Karibu kwenye libeneke mkuu. Ila rungu lako umebeba?Nawasalimia ndugu walinzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mwaka juzi nilitaka kuoa ila kilichotolea daaah[emoji124][emoji124][emoji124]wacha nivute shuka nilale.
Sent using OPPO Mobile Phone
Hiyo ipo njema mkuuNinapambana lakini pia bata nakula vizuri tu. Hata nikirest in peace leo sitojuta kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Yeah ...😀
Jana na leo ni siku ya mabeberu kujipongeza kwa kumpiga pini Christian naniliu.
Nani tena anakinukisha?Nasubiri dakika 13 tu
Talaka
Sent from my iPhone using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23] nikioa sitakesha sasa humu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nakutakia mema sana damu yangu.ndo maana tunakesha humu
Ushanambia. Imeandikwa kwa diary na nshaeka booking. Siku ukiwa upset nikupe kampani ya menumm ukitaka unione nakula niweupset tu muda wote nakula tu ovyo.
siwezi na ni impossible mission hiyo.