JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Usicheke mKG ..ndio hali halisi. Sometimes unahisi harufu ya moshi kwenye pua yaani moyo unaungua ndani kwa ndani [emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using OPPO Mobile Phone
 
Usicheke mKG ..ndio hali halisi. Sometimes unahisi harufu ya moshi kwenye pua yaani moyo unaungua ndani kwa ndani [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] dah umenikumbusha mbali ww secondary nilikuwa napita pale high class hotel wale wadada walikuwa nyoko kweli yaan wanapika acha unapita nje lakini hiyo harufu ni laana harafu mfukoni sina jambo baharia.
 
Back
Top Bottom