Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120
Ushapata mke wa tatu?Nimerudi ...
Ushapata mke wa tatu?Nimerudi ...
mm niko ok.
Ndio bado mmoja.Ushapata mke wa tatu?
Yo fam.Lindo leo limechangamka kiasi![]()
Another day already .. mzima famYo fam.
Niko ok kay kayAnother day already .. mzima fam
Kivp famNiko ok kay kay
Kila siku inavyokuja na ndivyo matatizo yanakuja ujue.
Lindo leo limechangamka kiasi![]()
Siku imeisha hii mkuu, muda wa kupumzika.wapi saiz kulala au ndio umeamka?
Ndio majukumu yanaongezeka dude mm kila day ikiwa count this year ujue na vugikiwa kabisa.Kivp fam





kama anajua vile anapigwa pic.Upo nchi gani mkuu



Kweli mzee wangu Ila teyari hii ni weekend tena.Siku imeisha hii mkuu, muda wa kupumzika.
Sent using OPPO Mobile Phone
True ... sema inabidi kubalance tu, ukijistress sana utakosa na peace of mind unless una family inakutegemeaNdio majukumu yanaongezeka dude mm kila day ikiwa count this year ujue na vugikiwa kabisa.
Pumzika bro.. Najua viungo vinahitaji kupumua maana terminal pub sio mchezoSiku imeisha hii mkuu, muda wa kupumzika.
Sent using OPPO Mobile Phone
Noma mkuu, ila matatizo hayajawahi kuisha ni kukomaa nayo taratibu taratibu tu japo inahitaji moyo mkuu walahiNdio majukumu yanaongezeka dude mm kila day ikiwa count this year ujue na vugikiwa kabisa.

Mzee wangu ndio ule ugonjwa fanya urudi nyumbani hommie mbona wanadondoka kama wanakideli hao wachina
