Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,579
- 5,792
Weekend mara nyingi huwa sina desturi ya kutoka kaka, nauchapa mwanzo mwisho[emoji28]Pumzika bro.. Najua viungo vinahitaji kupumua maana terminal pub sio mchezo
Sent using OPPO Mobile Phone
Weekend mara nyingi huwa sina desturi ya kutoka kaka, nauchapa mwanzo mwisho[emoji28]Pumzika bro.. Najua viungo vinahitaji kupumua maana terminal pub sio mchezo
Sina family inayonitegemea Ila kuna vitu vinanipa stress acha toka last year ila this year nitapush hilo gurudumu tu.True ... sema inabidi kubalance tu, ukijistress sana utakosa na peace of mind unless una family inakutegemea
Nikitu cha future ndio niko naangaika ndio raha yake.Noma mkuu, ila matatizo hayajawahi kuisha ni kukomaa nayo taratibu taratibu tu japo inahitaji moyo mkuu walahi[emoji3526]
Sent using OPPO Mobile Phone
Nakuelewa mkuu.. kama unachukua actions, kila kitu kitakaa freshSina family inayonitegemea Ila kuna vitu vinanipa stress acha toka last year ila this year nitapush hilo gurudumu tu.
Hupendi kelele inaonekanaWeekend mara nyingi huwa sina desturi ya kutoka kaka, nauchapa mwanzo mwisho[emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Nimeshajilipua teyari hivyo acha iwe hivyo hivyo tu.Nakuelewa mkuu.. kama unachukua actions, kila kitu kitakaa fresh
Kujilipua kunakuja na mengi [emoji23][emoji23] ... ukiona mambo magumu usilie. Jikaze kiumeNimeshajilipua teyari hivyo acha iwe hivyo hivyo tu.
Kila la kheri na ikafanyike baraka[emoji123]Nikitu cha future ndio niko naangaika ndio raha yake.
Kabisa yani, pia vurugu vurugu na watu kibao ni tatizo kwangu kwa kweli.Hupendi kelele inaonekana
Kwa mkuu wa mabeberu PompeoUpo nchi gani mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28]Kujilipua kunakuja na mengi [emoji23][emoji23] ... ukiona mambo magumu usilie. Jikaze kiume
Hahaaaa, bora ufe ukiwa unafight kuliko kufa kiboya. Mi nakomaa mzee hadi kieleweke.Mzee wangu ndio ule ugonjwa fanya urudi nyumbani hommie mbona wanadondoka kama wanakideli hao wachina [emoji22]
Mimi pia sipendi kila mara ila nikifika sehemu inayohitajika shangwe kama kwenye mnuso wa villain af iwe zzzzzz.. huwa naboreka kiasiKabisa yani, pia vurugu vurugu na watu kibao ni tatizo kwangu kwa kweli.
Sent using OPPO Mobile Phone
[emoji23][emoji23][emoji23] inabidi uombe reinforcement ukizidiwa tu.Kujilipua kunakuja na mengi [emoji23][emoji23] ... ukiona mambo magumu usilie. Jikaze kiume
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee huo mlima sio mchezo mzee wangu acha tu.Kila la kheri na ikafanyike baraka[emoji123]
Sent using OPPO Mobile Phone
Usicheke mKG ..ndio hali halisi. Sometimes unahisi harufu ya moshi kwenye pua yaani moyo unaungua ndani kwa ndani [emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Thats the spirit mkuu wangu... all the best kakaHahaaaa, bora ufe ukiwa unafight kuliko kufa kiboya. Mi nakomaa mzee hadi kieleweke.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mwamba kwanza unayo pass hii ya electronic? Nakuaminia utapambana maana ngozi nyeusi ujue zinapambana.Hahaaaa, bora ufe ukiwa unafight kuliko kufa kiboya. Mi nakomaa mzee hadi kieleweke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi uwe na back up plan[emoji23][emoji23][emoji23] inabidi uombe reinforcement ukizidiwa tu.