Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,439
- 110,062
Photoshop..Usiku wa manane ..... ila kuna mabaharia wanatamani wao ndio wawe hiyo Serengeti lite View attachment 1342655
Sent using Jamii Forums mobile app
Photoshop..Usiku wa manane ..... ila kuna mabaharia wanatamani wao ndio wawe hiyo Serengeti lite View attachment 1342655
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo gani unatakiwa kujaza ili upate nambaUnaweza pata kwenye website yao ila network itakuwa inazingua au jaribu app .
Sent using Jamii Forums mobile app
Usishuke mkuu uendelee kushuhudia vitu vingi vya kuja kuwaadithia wajukuu zakoDunia ikisimama nitashuka kwakweli kha!
Watu wa Mungu naomba mnisaidie taratibu za kuangalia namba ya NIDA mtandaoni. Kuna mtu wamemfungia laini ila namba yake ndio haijatoka.. Je nifanyaje ili kuipata Online? Msaada wenu please
Sio Photoshop, mm Photoshop najua itumia vzr sana.Photoshop..
[emoji23][emoji23] loh kama ndio mambo hv watu wanasnap hadharani hv huko tunapoelekea sijui itakuwaje..Usishuke mkuu uendelee kushuhudia vitu vingi vya kuja kuwaadithia wajukuu zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo gani unatakiwa kujaza ili upate namba
Mtu yupo vijijini huko hata sijui details zake vizuri sijui ata Napata vipi details zake. LohJina la mama la kwanza na mwisho pia ujue tarehe mm waliniuliza hivyo inategemea lkn jua info zote za muhimu .
Sent using Jamii Forums mobile app
So Do I..Sio Photoshop, mm Photoshop najua itumia vzr sana.
Aise[emoji124][emoji124][emoji124]Usiku wa lindo ulikua hivi,na chibonge wangu pembeni View attachment 1341718
Poa poa..
Kaa humo mwamba..
Sema acha tu tukianza ichambua itakuwa ni noma kweli lakini ukitaka nikue evidence moja wapo tu angalia tena [emoji23] kuna mtu nyuma anaichungulia hiyo chupa kwachini loh tuishie hapo tu kwanza mzee wangu.So Do I..
Mtu yupo vijijini huko hata sijui details zake vizuri sijui ata Napata vipi details zake. Loh
wapi saiz kulala au ndio umeamka?Aise[emoji124][emoji124][emoji124]
Sent using OPPO Mobile Phone
Ziko mbali.. ila ngoja tuone tutafanikisha vipi hili..Shida hapo aisee na ndo laini imefungiwa ?
Akienda ofisi za nida je au zipo mbali ?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ni mwanaume wa kino.Naenda American Chips Kinondoni naona America kumegoma.....nakuja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ziko mbali.. ila ngoja tuone tutafanikisha vipi hili..
Sina maana hiio[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ni mwanaume wa kino.