Things are going crazy out here madame..Nimeamini ww ni introvert
Mm nilijitoa siku nzima ili nimalize japo ilikuwa shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Glad to know that. It's been well with too
Hakika Mungu ni mwema. Maisha yamenibana best. Vipi mishe zako zinasonga vyema?
Ningekua nae ningekua nishasajili muda
Hahaha jasiri haachi asiri. Jf ni asiri yetu nasi ndio majasiri. Nadhani jibu umelipata mremboThubutu, kuna watu wanampango wa kujificha kwenye kivuli cha NIDA
Things are going crazy out here madame..
Nimewaachia tu
No reasons to lie.
Usisahau kupiga patrol huku kwetu mie nalala zangu!Niko lindo na leo kama kawaida
6 min remain
Inawezekana, na nishasikia wakizipa promo hawa freelancersNo reasons to lie.
Nimepanga nitatafuta mtu hata aniuzie laini au anisaidie kukamilisha kwa hela
Zimebaki dk 6 kufungiwa kwa lain zetu.kuna habari gani humu ndani? Location wapi?
No reasons to lie.
Nimepanga nitatafuta mtu hata aniuzie laini au anisaidie kukamilisha kwa hela
Nipo babu.
Leo nigahakikisha Lindo liko Salama kuanzisha sasa mpaka kunakucha.Usisahau kupiga patrol huku kwetu mie nalala zangu!
Daah siamini Kama nimebakiza dakika tano wafunge hii laini Kama walivyozima analojia
Kwaherini wakuu