Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,227
- 40,718
Haiwezi kusumbua cos ni data base.......kuna issue nilikuwa najaza data zangu sasa kuna option ya Nida,zilikuwa automatic baada ya kuweka namba,so itakuwa rahisi tuHope renewal inatakuwa rahisi sio waseme wamepoteza file lako