Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,207
- 29,043
Jamaa alitaka ajipigie kiulaini tu🤣🤣JF ni familia moja
Jamaa alitaka ajipigie kiulaini tu🤣🤣JF ni familia moja
hahaa unanikandia hapa mbele ya warembo ili upunguze ushindani sio?Nakumbuka miaka ile 2022 kama skosei ukifika Muda kama Huu unaaga mapema unaenda piga pindi kesho una pepa
Inalipa kama boss ni wewe mwenyeweNdio master nipo nakaanga chipsi.
Tunalitakia usiku mwema komwe letu zuri.00:00
Nilaze komWE..🥱
Uje uniungishe sister yangu.Inalipa kama boss ni wewe mwenyewe
Unafanya derivery Lindi?Uje uniungishe sister yangu.
Najua mifuko ya KKB imekuneemesha sana.
Kwahiyo umeanza mapambio🤣Tunalitakia usiku mwema komwe letu zuri.
Lizidi kung'aa.
Kwahiyo komwe letu lisipendeze jamani.Kwahiyo umeanza mapambio🤣
Duh, umeamua kuwa mkulima naona.Unafanya derivery Lindi?
Binti wa kazi za ndani? Sijawahi kumiliki beki tatu mkuu umemix mafile. Na sina uzee wowoteMzee wangu Kuna sku moja ulitoa mpya unavutiwa na binti yako wa Kazi za ndani daah nakumbuka kitambo Sana Enzi sjaanza kuwa mpole
Sijarudi badoVipi umeruhusiwa kushika cm na ma k😆