Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Heri ya mwaka mpya!
(Nimekumiss mpaka naumwa[emoji8])
Heri ya mwaka mpya!
Yale mambo yanakera.You can't be serious bro. Mpaka leo bado hujafanikisha?!
uriThanks habari yako
Nzuri kabisa, vipi kwa upande wako na usiku huu tulivu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibuni
Na kwako pia. Nimeshafika sasa. Mzima wewe? Kitambo sanaHeri ya mwaka mpya!
(Nimekumiss mpaka naumwa[emoji8])
Kwakweli niliishia hatua ya kujaza tu makaratasi serikali za mitaa
Nyie watu wazito banaHahahaha ulichelewa wapi? Ukiwa hata sie watu pori tumesajiriwa kwa alama za vidole
MTC | 101| [emoji769]
Hili swala ni endelevu, wacha kesho wafungie lakini baadae utaishigurikia na itafunguliwa.Yale mambo yanakera.
Mimi sipendi vitu vya kutumia nguvu sana, siwezi gombania vitu. Mnakaa kwenye mstari mwasukumana mpaka kero.
Nikiishia kujaza fomu za mwenyekiti tu
Niko poa kabisa. Hofu kwako
Kwakweli niliishia hatua ya kujaza tu makaratasi serikali za mitaa
Ngoja tuone. Tuombe iwe hivoHili swala ni endelevu, wacha kesho wafungie lakini baadae utaishigurikia na itafunguliwa.
Isingekua jf hata nisingehangaika mimiWanaweza kuongeza siku maana hali ni tete mpk sasa watu wengi bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Yale mambo yanakera.
Mimi sipendi vitu vya kutumia nguvu sana, siwezi gombania vitu. Mnakaa kwenye mstari mwasukumana mpaka kero.
Nikiishia kujaza fomu za mwenyekiti tu
Mimi mzima kabisa na mshukuru mungu. Umepotea sana.Niko poa kabisa. Hofu kwako
Isingekua jf hata nisingehangaika mimi
Itakuwa hivyo mkuuNgoja tuone. Tuombe iwe hivo
Ningekua nae ningekua nishasajili muda
We we dare to talk openly and feeling stressless.....