Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Ukweli liniona kidogo sehemu na sikuitilia maanani kabisa embu nipe dokezo vp inamzuka ukiangalia?Movie....Black Americans....Tyrese and Naomie Harris....about corrupted cops.
Ukweli liniona kidogo sehemu na sikuitilia maanani kabisa embu nipe dokezo vp inamzuka ukiangalia?Movie....Black Americans....Tyrese and Naomie Harris....about corrupted cops.
Siyo kwamba Nida watafunga,zoezi ni endelevu la usajili....,kilichofanya hali kuwa ilivyo sasa ni namba yao kutumika kwa passport ambayo deadline ni Jan 31 na line za simu Jan 20
Ahaaa ila tatizo lilikuwa kwa namba za zamani. Watu wengi tulihofia procedures ambazo zingewekwa baada ya kufungiaSiyo kwamba Nida watafunga,zoezi ni endelevu la usajili....,kilichofanya hali kuwa ilivyo sasa ni namba yao kutumika kwa passport ambayo deadline ni Jan 31 na line za simu Jan 20
Ukweli liniona kidogo sehemu na sikuitilia maanani kabisa embu nipe dokezo vp inamzuka ukiangalia?
Mtu anagoogle huko anakuja kudanganya watu wakati hata hajawahi kulimaKilimo cha motivation ni kilimo ambacho huwa hakina kufail ni kuwin tu ndio maana watu wanalia wakikosa baada ya madegemeo walio yaweka huko.
Shukrani, japo leo niliona watu ni wengi hadi muda huo thou wengi waliilalamikia NIDA kwa kuchelewesha vitambulisho.Mzee wa last minute huh?
Hongera san
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kilimo cha maonesho 88Mtu anagoogle huko anakuja kudanganya watu wakati hata hajawahi kulima
Error of omission. Now you can observe how the big the lose will be!What 8 mill sio ni 22 millions babu.
Nitaangalia saiz niko busy muda napata kidogo sana.Nzuri ukipata mda icheki.
Ahsante mkuu af raha yake ni kubwa kama kushinda biko. Maana wanatest inakata maana mtandao ulizidiwa ao ikikubali kuna raha flani hivi [emoji23]Pole[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu ni wengi sana watahathilika na hili janga.Error of omission. Now you can observe how the big the lose will be!
Bora 88 Moro au Mbeya kunakuwa na wataalamu waliokwenye field kabisa na wanafanya cross breeding za mazao huko,sasa hawa motivational speaker,hawana hata abc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kilimo cha maonesho 88
[emoji23][emoji23][emoji23]Bora 88 Moro au Mbeya kunakuwa na wataalamu waliokwenye field kabisa na wanafanya cross breeding za mazao huko,sasa hawa motivational speaker,hawana hata abc
Ni mwanzoni tu bro. Sidhani kama watu watasusia huduma kwa sababu ya kufungiwa, watatafuta means nyingine na baada ya hapo issue itakaa sawaWatu ni wengi sana watahathilika na hili janga.
Jeuri ya kususia wataipata wapi [emoji23] lazima wajisajili tu watake wasitake.Ni mwanzoni tu bro. Sidhani kama watu watasusia huduma kwa sababu ya kufungiwa, watatafuta means nyingine na baada ya hapo issue itakaa sawa
Daah aisee,line zangu nilizisajili siku ya pili baada ya zoezi kufunguliwa na kampuni za simu pale mlimani city na vodacom nilikuta mmoja anasajili,Airtel sikukuta mtu na tigo nilikuta wanne tu......Ahsante mkuu af raha yake ni kubwa kama kushinda biko. Maana wanatest inakata maana mtandao ulizidiwa ao ikikubali kuna raha flani hivi [emoji23]
Poa mkuu,nakwako piaUsiku mwema Guy's
Kesho namadeni yakulipa kwahiyo lazima nilale mapema.
Ndo raha hiyo kaka [emoji23][emoji23]Jeuri ya kususia wataipata wapi [emoji23] lazima wajisajili tu watake wasitake.
Same to ya fam..Usiku mwema Guy's
Kesho namadeni yakulipa kwahiyo lazima nilale mapema.