pmwasyoke
Platinum Member
- May 27, 2010
- 4,983
- 3,790
Ngoja nitoke mkuu,usinifungie nilikua namalizia ukaguzi...Nafunga geti
MTC | 101| [emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha hatari yaan umetulia kama hujui kinatokea nn kwa jirani yako.
Ulinzi huku nikikuwaza weye mpenzi wangu. Uwepo wako ndio pumzi yang. Uuhali gani?Huu sio ulinzi[emoji6][emoji6][emoji6]
Kwaherini Niliwapenda ila TCRA waliwapenda zaidi...
Tutaonana tukibahatisha namba za Nida
Hahahaha ulichelewa wapi? Ukiwa hata sie watu pori tumesajiriwa kwa alama za vidoleKwaherini Niliwapenda ila TCRA waliwapenda zaidi...
Tutaonana tukibahatisha namba za Nida
Pole tutakufuata kwenu kupiga storiKwaherini Niliwapenda ila TCRA waliwapenda zaidi...
Tutaonana tukibahatisha namba za Nida
You can't be serious bro. Mpaka leo bado hujafanikisha?!Kwaherini Niliwapenda ila TCRA waliwapenda zaidi...
Tutaonana tukibahatisha namba za Nida
Ndio wapi hapo? Wengine tuko free muda huu sio mbaya ukilocate tukajiongeza tunaoweza.Nani yuko maeneo ya 777
MTC | 101| [emoji769]
Missed you binti Aurora
Nasikia umesajiri line mupya ili kunikacha[emoji6]Hahahaha ulichelewa wapi? Ukiwa hata sie watu pori tumesajiriwa kwa alama za vidole
MTC | 101| [emoji769]