gud fam.Hope mpo njema...
Lindo jema wakuu
Hope mpo njema...
Lindo jema wakuu
Usije kujaribu kuweka hela shambani kwa kuwasikiliza motivational speaker, utaliaBora hata ww unaexprience ukipata shamba unafanya maajabu mm sijui chochote alafu unaweka pesa huko ni risk nafanya.
gud fam.
Njema maana hakuna hitilafu yoyote.. sijui pande hizoSalama kabisa...weekend imeishaje?
Njema maana hakuna hitilafu yoyote.. sijui pande hizo
Hilo najilua na sitaki kuweka high expectation baada ya kuweka huko hela.Usije kujaribu kuweka hela shambani kwa kuwasikiliza motivational speaker, utalia
Hivi NIDA wanafunga leo sita usiku maana sijisomiInaishia salama . Nashukuru
OkayHilo najilua na sitaki kuweka high expectation baada ya kuweka huko hela.
Aah! Mbona umeniacha hapo ni movie au series?Leo nimetazama Black and Blue....uneshaiona?
Nakumbuka zile hesabu za kuvuna matikiti [emoji16][emoji16]Usije kujaribu kuweka hela shambani kwa kuwasikiliza motivational speaker, utalia
Hivi NIDA wanafunga leo sita usiku maana sijisomi
Kilimo cha motivation ni kilimo ambacho huwa hakina kufail ni kuwin tu ndio maana watu wanalia wakikosa baada ya madegemeo walio yaweka huko.Okay
Nimehangaika leo kusajili line ya voda asee.. saa mbili na dakika zake usiku ndio ikakubali. Ila nastahili nilichokipata maana namba ya NIDA kitambo tu ninayo [emoji23]Itakuwa 20th midnight. Una masaa kadhaa jitahidi
Aah! Mbona umeniacha hapo ni movie au series?
Siyo kwamba Nida watafunga,zoezi ni endelevu la usajili....,kilichofanya hali kuwa ilivyo sasa ni namba yao kutumika kwa passport ambayo deadline ni Jan 31 na line za simu Jan 20Hivi NIDA wanafunga leo sita usiku maana sijisomi
Nimehangaika leo kusajili line ya voda asee.. saa mbili na dakika zake usiku ndio ikakubali. Ila nastahili nilichokipata maana namba ya NIDA kitambo tu ninayo [emoji23]
😂😂😂😂😂Nakumbuka zile hesabu za kuvuna matikiti [emoji16][emoji16]
Pole😂😂😂Nimehangaika leo kusajili line ya voda asee.. saa mbili na dakika zake usiku ndio ikakubali. Ila nastahili nilichokipata maana namba ya NIDA kitambo tu ninayo [emoji23]