Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Atamshangaa maana nipo mkoani kikazi, hapo ndipo atapigwa vzr, na anamjua shemeji alivyo na mabavu utadhan ni mlinzi wa kumbi za starehe![]()

Atamshangaa maana nipo mkoani kikazi, hapo ndipo atapigwa vzr, na anamjua shemeji alivyo na mabavu utadhan ni mlinzi wa kumbi za starehe![]()

Twende tukalale bhanaJirani jirani jirani huku wameiba hadi floor nabaki kushangaa tu nalala nimesimama leo.
Usiku mwema jirani kipenzi lala unono.

MmmhGuy's naomba niwaage, kila la kheri niwatakie mkesha mwema![]()

Hureeeh, Dirty Head mkombozi amekujaTwende tukalale bhana![]()
ngoja na mimi nisubiri zamu yangu ya ukombozi

Hakuna kulalaLeo sina usingizi kabisa jamani
Usiku mwema mkuu nakuachia lindo aiseehHureeeh, Dirty Head mkombozi amekujangoja na mimi nisubiri zamu yangu ya ukombozi
![]()
![]()
![]()
Usiku mwema mkuu nakuachia lindo aiseeh
00:01 nimekusaka kila corner!Niko hapa nakusubir mapemaa kabsaaa
Jirani jirani lini unarudi nikupokee00:00 am
Jirani jirani lini unarudi nikupokee00:00 am