JamiiForums Usiku wa manane
Ohoooh nakoz tena, ila nimesikia jirani yako ana mbinu, amesema akimkuta shemeji anabadilisha mada anamwambia mchana ulilala kwenye gesti yake kaja kudai hela yake (nshatoa siri tena)
Atamshangaa maana nipo mkoani kikazi, hapo ndipo atapigwa vzr, na anamjua shemeji alivyo na mabavu utadhan ni mlinzi wa kumbi za starehe
 
Back
Top Bottom