JamiiForums Usiku wa manane
Hapana hajawa addict, kuna mkaka alikuwa mgonjwa haswa....kwa sasa amepona....alikuwa halali Siku 4.
Nashukuru Mungu alikuja kupona
Kuna mtu nilikuwa namfahamu anaweza kukaa zaidi ya wiki hajalala wakati mwingine mpaka wiki mbili

Ukimuangalia unamuonea huruma maana yupo kama teja pia alikuwa akitumia sana tambuu
Utajiri aliokuwa nao ndio ulikuwa unamfanya akose usingizi.

Matajiri wengi huwa hawalali vizuri
 
Huyu alikuwa hatumii kilevi...maisha tu na shule(chuo) ndio vilikuwa vinamkosesha usingizi.
Na alikuwa mchangiaji Mzuri sana jukwaani .

Back
Top Bottom