Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120
Hapana hajawa addict, kuna mkaka alikuwa mgonjwa haswa....kwa sasa amepona....alikuwa halali Siku 4.
Nashukuru Mungu alikuja kupona
Nashukuru Mungu alikuja kupona
Alafu huwezi amini nimejiunga mwaka huu mmcrown bado hainistahili kabisa.
Mengi sanaaaaa, na dagaa wapo pia japo wamependa bei sana.
Serious !!!.. hiyo ni mbayaHapana hajawa addict, kuna mkaka alikuwa mgonjwa haswa....kwa sasa amepona....alikuwa halali Siku 4.
Nashukuru Mungu alikuja kupona
Mawese nimeyaona zamani hadi nimeyamiss kwenye maharageMengi sanaaaaa, na dagaa wapo pia japo wamependa bei sana.
Sent using OPPO Mobile Phone
Kibondo ulipo hakuna mawese?Nahisi hivyo....tuulizie
Angalia 2020Unanitamanisha sasa
Mimi nilikuwa nikijua yapo tabora sana sanaNahisi hivyo....tuulizie
Kama upo Moro/Mbeya nikiwa natoka huku niagize nikuletee mkuu.


Kibondo ulipo hakuna mawese?
Sent using OPPO Mobile Phone
Pia nawe
Angalia 2020
Nilikuwa nataka upite hapa .....ndio maana nikajibu vile.
Asante kwa Kuwakilisha....![]()



