Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ugonjwa gani alikuwa nao sasa?Ugonjwa sio ujinga bwana
Ugonjwa gani alikuwa nao sasa?Ugonjwa sio ujinga bwana
Ugonjwa gani alikuwa nao sasa?
[emoji4][emoji4] ashukuriwe ronny kwa kunikumbusha hiyo kitu. Ilikuwa nzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tunaishia kulaumu impact tu. Kuna mtu ambaye watu walikuwa wakimuona kama mkatili na mkorofi tulipokuwa O'level ila akatokea kuniamini. Siku alinifungukia issues zake nikaona watu wanamuhukumu bure na ndo rafiki yangu mkubwa hadi leoMkuu sio ujinga, dunia ina mapito kibao omba yasikukute tu.
Sent using OPPO Mobile Phone
mapito hayo mbona ni mazuri mzee kuna watu wanapitia nyakati ngumu ww huyo anachat humu anafurahia kabisa mnasema nimapito magumu kweli?Mkuu sio ujinga, dunia ina mapito kibao omba yasikukute tu.
Sent using OPPO Mobile Phone
Ukifikiria business na roho yako kusakwa huwezi lala kwa raha.Kuna mtu nilikuwa namfahamu anaweza kukaa zaidi ya wiki hajalala wakati mwingine mpaka wiki mbili
Ukimuangalia unamuonea huruma maana yupo kama teja pia alikuwa akitumia sana tambuu
Utajiri aliokuwa nao ndio ulikuwa unamfanya akose usingizi.
Matajiri wengi huwa hawalali vizuri
mapito hayo mbona ni mazuri mzee kuna watu wanapitia nyakati ngumu ww huyo anachat humu anafurahia kabisa mnasema nimapito magumu kweli?
Insomnia
Kesho tutaongea vzr saiz nalala tutaelezana kwakina [emoji419][emoji419] nagongelea msumari hili bango.
Sio kila anaechati humu mambo yake ni rahisi mkuu, wengi tunatafuta faraja walau tucheke tu au tupate wa kutujibu tu.mapito hayo mbona ni mazuri mzee kuna watu wanapitia nyakati ngumu ww huyo anachat humu anafurahia kabisa mnasema nimapito magumu kweli?
Hapana bro kila mtu ana njia za kutoa stress. Huyo mtu possibly alikuwa ana mavitu kichwani ila hakuweza kujua pa kuyatolea tu. Hii dunia ina vingi mkuumapito hayo mbona ni mazuri mzee kuna watu wanapitia nyakati ngumu ww huyo anachat humu anafurahia kabisa mnasema nimapito magumu kweli?
True mkuu. Jf ukiitumia fresh unapata family na friends ambao wapo fresh tu au kutoa stress tuSio kila anaechati humu mambo yake ni rahisi mkuu, wengi tunatafuta faraja walau tucheke tu au tupate wa kutujibu tu.
Sent using OPPO Mobile Phone
Ni kweli mkuu wengi huwa tunahukumu pasi na kujua kwa nini huyo mtu yuko hivyo, wengi tuna/wana pitia magumu ni vile watu wengine huwa hawaelewi kumchukulia mtu alivyo.Acha tunaishia kulaumu impact tu. Kuna mtu ambaye watu walikuwa wakimuona kama mkatili na mkorofi tulipokuwa O'level ila akatokea kuniamini. Siku alinifungukia issues zake nikaona watu wanamuhukumu bure na ndo rafiki yangu mkubwa hadi leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila anaechati humu mambo yake ni rahisi mkuu, wengi tunatafuta faraja walau tucheke tu au tupate wa kutujibu tu.
Sent using OPPO Mobile Phone
Hapana bro kila mtu ana njia za kutoa stress. Huyo mtu possibly alikuwa ana mavitu kichwani ila hakuweza kujua pa kuyatolea tu. Hii dunia ina vingi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji419][emoji419][emoji419] tutawekana sawa kwenye hili vzr.
True sema inabidi upate emotional support kwa mtu unayeweza kumuamini so baadhi huwa wanachat jf maana ID hazijulikani hivyo inakuwa safeNi kweli mkuu wengi huwa tunahukumu pasi na kujua kwa nini huyo mtu yuko hivyo, wengi tuna/wana pitia magumu ni vile watu wengine huwa hawaelewi kumchukulia mtu alivyo.
Sent using OPPO Mobile Phone
Mungu akijaaalia mkuu.[emoji419][emoji419][emoji419] tutawekana sawa kwenye hili vzr.