Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Vp uko poa lakini?
ndio nimeamka hivyo
Vp uko poa lakini?
Naww ndio unaamka amaa?Tuko wengi basi.
Za usingizi?
Karibu hommie.Kwema mzee?
Nawe broh pamoja na familia hapo..Inapendeza kusikia upo poa mzee, uwe na wasaa mwema hapo ulipo
Niko gud sijui wengine.
Safi mkuu uko poa wewe
Shukrani mzee,, mitikasi niaje pande hizo?Karibu hommie.


hii sever ya JF sio mchezo unaweza kuta avatar yako ikiwa ya mtu mwingine ukashanga tu haya maajabu.Gud gud.Shukrani mzee,, mitikasi niaje pande hizo?
Sasa hivi ni muda wa kukagua lindo nani anasinziaHv humu muda wa lindo ni saa 5 au 6?
Asante sana broh!!! PamojaNawe broh pamoja na familia hapo..
Jana ulipita kama upepo.