JamiiForums Usiku wa manane
We ndo umepotea sana jana sijakuona kabsa maeneo haya
Vp yule mchepuko kakuachia
Jana nimekuja we ukaanza tabia za kuku unachungulia mapema then unasepa.



Mchepuko umeniacha aiseeh labda uwe njia kuu nitulie mtoto wa mwenzio.
 
hahahha, nimeachiwa leo hahahahahaha
Pole sana mtani nilihuzunishwa sana wewe kupigwa BAN kwa ajili ya yule mpuuzi asiyejielewa... Anachojua ni kuiba AVATAR za watu na kutukana watu wengine..hizi kiki kwa pikipiki balaa
[HASHTAG]#PoleKwaBanMtani[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom