Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,840
- 2,425
Spade4spadeeee
Nimekufunika hivyo wewe zilipendwa maana umeshalala dakika 25 zilizopitaKulala mapema hizo zilipendwa.wote mliolala n wahengaaaa
Nimekufunika hivyo wewe zilipendwa maana umeshalala dakika 25 zilizopita
Unataka kitu muhimu au?
Kama dawa
We si ulilala mbele, mbona unatuchungulia tena! Ngoja nimuite yule mmasai aje na rungu lake. Utatokaje baruti!Kama dawa
Oky niko njian kuja

Oyeah
Hapana nilikuwa nazunguka kuangalia usalama wa popooozWe si ulilala mbele, mbona unatuchungulia tena! Ngoja nimuite yule mmasai aje na rungu lake. Utatokaje baruti!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hooooh! Basi samahani, nilikuona unaanza nikashangaa!Hapana nilikuwa nazunguka kuangalia usalama wa popoooz
Inna mambo vipi aiseehOky niko njian kuja![]()
![]()
Poa rafk angu mzima ww! Embu niitie jiran yako nmem missInna mambo vipi aiseeh