Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,138
Kuelezea series mm sijuiView attachment 1305249
M nmeona nzuri tu sema zile super powers ndo sijazielewaNiliangalia ep 1 sijarudia tena.. niliona inaboa
Mm nna season 1 ndo ipo complete tena nmeishusha janaImekamilika completely maana naona google wanasema zipo Season 2 tu?
Season2 bdo haijaanza kutoka bwana mm sijaona bdoImekamilika completely maana naona google wanasema zipo Season 2 tu?
Wapo bhana ambao hawa kitu kama huyu Goddess mpe kwanza
JumongMisilkama sijakosea maana nikitambo toka nikiwa O level ndio niliiyona hiyo series.
Wengi wanaisifu..Kama mbaya sitapita nayo mm.
Ww series inakuaga nzuri episode 1?!Kama mbaya sitapita nayo mm.

Kuna super power tenaM nmeona nzuri tu sema zile super poers ndo michosho
Ww toka lini story ikanoga ep 1?!
kama heros ndio maana niliacha kama smallvile nayo hivyo hivyo.Mimi series za Netflix sijawahi zielewa kwakweliM nmeona nzuri tu sema zile super powers ndo sijazielewa
Ww toka lini story ikanoga ep 1?!
Shusha hiyo niliokupa imetoka sept 24 saiz ina Epsod 10 tu.Mm nna season 1 ndo ipo complete tena nmeishusha jana
Ww series inakuaga nzuri episode 1?!![]()
Kausha hizo ndio zilizonijengea msingi wakupenda seriesJumong

Jumong haijawahi kuisha utamu kwangu.The witcher ina episode8Shusha hiyo niliokupa imetoka sept 24 saiz ina Epsod 10 tu.

Sijawahi kubali hiyo company hata siku 1Mimi series za Netflix sijawahi zielewa kwakweli
Angalia yangu kwanza utaniambia kuwa najua kuchagua kitu kizuri.The witcher ina episode8![]()
Yani ni mkono na hayo madude mixer ww si unajua thailand na martial artsHizo super power mshanikosa teyari nilipewa Agent of shield niliangalia episode 1 tu nikafutilia mbali huko tena kipindi hicho ndio mpya sasa.
Alisha nitajia ningendako siku moja humu nikaangaliaAngalia yangu kwanza utaniambia kuwa najua kuchagua kitu kizuri.