Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
0021
0021
Mm leo nilikua na ''wu assassins'' complete seasonJana nilikuwa naangalia series Goddess nasio kweli nililala kama kuku tafuta hii series nikisanga kweli kweli Da'Vinci tafuta mwng hii kitu ni hatari tupu. View attachment 1305240
Mbona siijui hiyo kitu eh [emoji15] ikoje hiyo.Mm leo nilikua na ''wu assassins'' complete season
Will find it.. nikipata muda.Jana nilikuwa naangalia series Goddess nasio kweli nililala kama kuku tafuta hii series nikisanga kweli kweli Da'Vinci tafuta mwng hii kitu ni hatari tupu. View attachment 1305240
Kuelezea series mm sijui[emoji23]Mbona siijui hiyo kitu eh [emoji15] ikoje hiyo.
Hiyo Avatar yako siyule mother kwenye Queen Seondoek?
Niliangalia ep 1 sijarudia tena.. niliona inaboaMm leo nilikua na ''wu assassins'' complete season
Huyo mwana kutengenezwa ni killing machine kwajili ya project zao alafu jamaa akasalit chama basi ni balaa tu jamaa ni assassins kweli sio mchezo.Will find it.. nikipata muda.
Naam, unakumbuka alikuwa akiitwa nani?Hiyo Avatar yako siyule mother kwenye Queen Seondoek?
Niko natorch mbili hapa nikupe moja [emoji363]
Imekamilika completely maana naona google wanasema zipo Season 2 tu?Kuelezea series mm sijui[emoji23]View attachment 1305249
Kama mbaya sitapita nayo mm.Niliangalia ep 1 sijarudia tena.. niliona inaboa
Hapana..Nina 4 hapa natafuta pa kuzipeleka.Niko natorch mbili hapa nikupe moja [emoji363]
mm niko gud kabisa.
Wape wasio kuwanazo hao.