Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Aah hiyo list ni tofauti kabisa na mm mapenzi kwenye series zitaki kabisa nataka mapenzi yale yakizungu fasta fasta mtu kamaliza kaingia kwenye mission au yupo kwenye mission kama wanangu was Strike Back yupo kwenye mission namapenzi yapo humo humo.