Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Usiku wa kula huuUsinilazimishe kulala sasa.
That is your probUsiku wa kula huu
Lala
Ndio hapo sasa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kuna lindo hapa, namwachia nani?
Usiku wa kula huu
[emoji23][emoji23][emoji23]That is your prob
[emoji23]lala nakuja kukuibia sjui utanikamata wapiKuna lindo hapa, namwachia nani?
Embu kwenda huko usiniambie kuwa hujawahi kufunga ww?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nipokula.kesho nitakufa
Kula chakulaKula chakula au kula ile ya kula
Nafunga vizuri ila tumvo hua linajua siku za kufunga na hizi siku za kawaidaEmbu kwenda huko usiniambie kuwa hijawahi kufunga ww?
Kula chakula
Unajua nakula nn?![emoji23]Embu kwenda huko usiniambie kuwa hijawahi kufunga ww?
Ndio njaaa kila siku lazima mida hii nileSaa Saba hii
Sikama kawaida yako [emoji4][emoji4]Unajua nakula nn?![emoji23]
Ndio njaaa kila siku lazima mida hii nile
Usiku sijalaSiyo powa, labda kama unakula majani majani au kitu ambacho digestion yake ni fasta
Ile nilishapiga kama saa4 ss hv nakula kingine[emoji23][emoji23][emoji23]Sikama kawaida yako [emoji4][emoji4]
Unakuwa kama wadudu fulani hv wanaitwa kiwavi hao muda wote wanatafuna tu.Ile nilishapiga kama saa4 ss hv nakula kingine[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo starehe yangu ss[emoji23]Unakuwa kama wadudu fulani hv wanaitwa kiwavi hao muda wote wanatafuna tu.