Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,666
Dk1
Mm ni mlinzi maeneo ya uvuvi leo
Hahahahaha,u have made my nightMm ni mlinzi maeneo ya uvuvi leo
Hizo ni idadi ya samaki ambazo zmeuliwa kwa bomb
Nahesabu baada ya kukamata majangili

inapendeza kama umefurahi kidogoKama wote hao umeyaona na kuyashika maziwa yao basi ndio maana yapo kama yalivyo mkuuAysee wengi toka hapa hotelini hadi baadhi ya mitaa na sokoni..
Jamiiforums tuko laki tano wa wastani kila siku wanakufa wanajf 27 mniulize nimejuaje0342
Tueleze umejuajeJamiiforums tuko laki tano wa wastani kila siku wanakufa wanajf 27 mniulize nimejuaje
Chukulia jf Ni mji na unawatu 500,000 basi idadi ya watu wanaokufa kitakwimu Ni 30-+Tueleze umejuaje
Hatua unazo kwenda si za Bajaji😅😅😅Kama wote hao umeyaona na kuyashika maziwa yao basi ndio maana yapo kama yalivyo mkuu
Mkuu bado uko Burundi?Hatua unazo kwenda si za Bajaji😅😅😅
Nipe tuu salaam niwasalimie..Mkuu bado uko Burundi?