Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120
Zaidi yangu uko na mwingine?
Akija yule mrembo mnistue.
Akija yule mrembo mnistue.
yupi huyo?
Zaidi yangu uko na mwingine?
Wewe ni mke mdogo,naongelea mrembo fulani hivi,si unajua wewe thamani na nafasi yako ni kubwa sana,mpaka kukutaja pia huwa naona kama nakushushia thamani yako.
Umekuja mapema leoAm very well, thank you.
You?
Umekuja mapema leo
Umekuja mapema leo
Nimelewa usingizi ghafla
Umeelewa lakini maneno ?
Salama tu za mizunguko ya sikuZa kushinda?
Salama tu za mizunguko ya siku
Ndio yamenilewesha
Nitalifanyia kazi uwenda ikawa hivyo..
Aysee wengi toka hapa hotelini hadi baadhi ya mitaa na sokoni..Hii research uliifanya kwa watu wangapi
Nipo kazini japo si nililolifuata... Nimekutana hii kitu..Fanya utaratibu wa kujua, hawana vizinga kama wa huku
Hiki kiingloshi cha nyama choma bila shaka..There is no good and evil,there is only power and those too week will seek for it.