JamiiForums Usiku wa manane
YOUNGBLOOD Goddess Super Villain
Ni kwamba swali langu hamjaliona???..
Nisamehe mah sikuliona hao ni bata wanauzwa 150k kwa bata1


Kama upo dar

Nenda kijiji cha makumbusho nje banda linaangaliana na tigo kuna rasi anauza

Au mbagala sokoni masoko yote ma2 angalia

Mtaani pia kuna watu wanauza ila bei ndo hizo kuanzia 120k
 
Back
Top Bottom