mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,455
- 36,449
Kukulinda wewe usiku unaenda murua kabisaThanks hunnie.
So wafanya nn usiku huu ili uende
Kukulinda wewe usiku unaenda murua kabisaThanks hunnie.
So wafanya nn usiku huu ili uende
Nashkuru Mungu ila ndio nakaribia angalau kurudi normal now. Siku nne mfululizo nasafiri!!!!Wazima vipi safarini ulifikaga salama?!
Naona upo mkuuHatujambo mkuu
Ahsante kwa hilo huny. Karibu tufanye tahjudiKukulinda wewe usiku unaenda murua kabisa
HahahaahahaAhsante kwa hilo huny. Karibu tufanye tahjudi
Mnapin gani sass?Usiombe pin ndogo....hatunaga.![]()
Unachana hata msamba tu.Mshika mawili usisahau
Hahahaahaha
Mkuu na wewe unapata rakaa???
Juhudi tunazifanyia wapi sasa wakati sikuoni tena jamani?Ahsante kwa hilo huny. Karibu tufanye tahjudi
Mkuu rakaa ni jumla ya kile kisimamo katika swala. Rakaa moja inaanzia kwenye kisimamo na kuishia kwenye postraiting.Mkuu fafanua hapo kwenye rakaa
Weeh pole siku4 nyingi sanaNashkuru Mungu ila ndio nakaribia angalau kurudi normal now. Siku nne mfululizo nasafiri!!!!
Thanks for your concern!
HahahahaUnachana hata msamba tu.
Mkuu Leo mimi ndio mlinzi mkuu nahisi
Gari imetoka lock auMnapin gani sass?
KaribuI can tell you,huh!!!!!!!
Ahsante sana