Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120
Nitakupeleka Kliniki ya Afya ya Uzazi....kumetulia kule.
Wapi hapo nije chap?
Wapi hapo nije chap?
Upo kitonga au![]()



nakeambia hb sijawahi shusha bonde hata siku1 wala kwenda kuchungulia
Vyote vyote nafanya leoHahaha leo utakoma nakwambia nushapewa kitanda na Ronny2010 ukastirike au unalinda gari


leo nikisanga ngoja niongee na nurse nifanye mpango wa charge.
Niko salama sijui wwAsante...
Umeshindaje lakini?
Mshika mawili usisahauVyote vyote nafanya leo
Niko salama sijui ww
Nilikua nakusubir wewe ny dearly womanHujalala kumbe
Nilikua nakusubir wewe ny dearly womanHujalala kumbe
Vizuri afya znaruhusu kulindaMuzuri kabisa pande hii
Sijambo don
Hali yako
Nimefika Clark KentNilikua nakusubir wewe ny dearly woman
Good kukuona my crush ma'D.Nimefika Clark Kent
VizuriNzuri sana
Tupo pamoja Clark Kent ulinzi shirikishiGood kukuona my crush ma'D.
Tupeane company kulinda
Thanks hunnie.Tupo pamoja Clark Kent ulinzi shirikishi
Wazima vipi safarini ulifikaga salama?!Hamjambo jamani???
Hatujambo mkuuHamjambo jamani???