Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Sawa sawa.Hahaha, kesho nanyoosha.
Sawa sawa.Hahaha, kesho nanyoosha.
Najua nyie xmas hamna siku moja tu kwamwaka balaa lenu zito.
Asante leo nipo lindo hospital [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anastress za kulock gari kwanza muache[emoji23][emoji23][emoji23]
Amia kwetu sasa sawa.
Hata ingenyesha masaaa mm nipo kama mlimani chini kuna bonde baridi lazimaBaridi kwa mvua ya siku 2 tu.
Umeshanunuliwa nguo za sikukuu basi unatuletea vulugu huku.Anastress za kulock gari kwanza muache[emoji23][emoji23][emoji23]
Umewahi muda bado mbichiSijachelewa eehh?
Upo kitonga au 😆😆😆😆Hata ingenyesha masaaa mm nipo kama mlimani chini kuna bonde baridi lazima
Yes
Wapi hapo nije chap?Uje nikupe kitanda upumzike
Umewahi nuda bado mbichi