Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,786
- 45,266
Nishakuja sasa, lete khabariNilijua utakuja tuu... nyumbani ni nyumbani
Nishakuja sasa, lete khabariNilijua utakuja tuu... nyumbani ni nyumbani
Si useme tu kweli hhaahhahaahHahaha hizi keyboard zitaua mtu ni error tu
Ulifichwa na nani lakini?Nishakuja sasa, lete khabari
Mimi ntawaacha soon. Chaji tatizoWalinzi mmelala au ni kale kamsemo cha Da'Vinci mpo ikule mafichoni
Mmoja mmoja hahahaMimi ntawaacha soon. Chaji tatizo
Nobody, basi tuu nimechelewaUlifichwa na nani lakini?
Wewe unataka?😀Kwani hautaki![]()
Kuna nyumba ya jirani wana harusi aiseeee wamefungulia speaker zote na wamezielekezea huku kwangu hahahaahahha
Haha unadanganyaNimepiga mahesabu ya Geography nikapata GMT+1
Umeshafika lkn?Mimi ntawaacha soon. Chaji tatizo
Keyboard kweliSi useme tu kweli hhaahhahaah
Hahahaha, wewe itakua umesahau kidogo maswala ya Time zones😀Haha unadanganya
Wewe unataka?![]()
aah swali kwa swaliPole sanaaKuna nyumba ya jirani wana harusi aiseeee wamefungulia speaker zote na wamezielekezea huku kwangu hahahaahahha
0 na 1 au 2 zilivyo mbali mbali unaisingizia keyboard kweli?Keyboard kweli
Umecalcute 0 sec bwanaHahahaha, wewe itakua umesahau kidogo maswala ya Time zones![]()
Mmoja mmoja hahaha