Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Niko hapa Hoptital ya Cardinal gari simejilock bhana milango alfu kilakitu kipo humo yaan mfukoni na 5000 tu.Leo kunaniii?!
Niko hapa Hoptital ya Cardinal gari simejilock bhana milango alfu kilakitu kipo humo yaan mfukoni na 5000 tu.Leo kunaniii?!
Sibora ningeenda hata kiwanja unasema nitaenjoyWapi tena na ww mzururaji![]()
Achana na huyo mtt wakishua analamika wakati ndani yupo na ac
Nipo frsh kidogo tu
Achana na huyo mtt wakishua analamika wakati ndani yupo na ac
Eheew leo ilikuaje ile kitu ikatoka wakati ulisema nanii?!Niko hapa Hoptital ya Cardinal gari simejilock bhana milango alfu kilakitu kipo humo yaan mfukoni na 5000 tu.
Pole linda gar leoNiko hapa Hoptital ya Cardinal gari simejilock bhana milango alfu kilakitu kipo humo yaan mfukoni na 5000 tu.
Hahahaha skmu si ipo tafuta fundi hapoSibora ningeenda hata kiwanja unasema nitaenjoy
Ndio dar mah
Anatuectia tu huyo.
Fundi mjinga sana ananimbia anakuja asubuhi fala huyu.Hahahaha skmu si ipo tafuta fundi hapo
Gud tu hommie.Amani ya bwana iwe pamoja nanyi