amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Kkoo,mlimani au soko gani ?hamna bwana mm leo nipo sokoni hapa mbna silalamiki




Ronny2010 amekutetea mpaka naogopa kupoteza kibarua changu maana nikama maamuzi toka juu vileWanaweza wakamdungua nami sitaki hiko kitokee
Hataki kuajiliwa alituambia yy anataka deal tu basi akiajiliwa madeal yaanje atakosa anapenda hela hatari mwana huyo.Huyo hakutakiwa kukamatwa ilitakiwa aajiliwe Tiss kabisa
Cres........karibu
Mpaka utakapoanza kulala wewe then I will follow. It's my responsibility to make sure you're safe all the time![]()
Duuh huyo hatari,ahack Bank basi apate mitonyoHataki kuajiliwa alituambia yy anataka deal tu basi akiajiliwa madeal yaanje atakosa anapenda hela hatari mwana huyo.
Kuna yule dogo wa autralia (?) Alipiga code kuondoa filters za porn sites zilizowekwa na serikali kwa mamilioni ya hela within 24hr



sikumsikia huyo nakumbuka tu yule dogo aliowajambisha Iphone tu.Ukaota nini sasa😀😀Series wapi nilikuwa naota
Huyu muangalie kwa jicho la rohoni mkuuI doubt ....nakupoteza soon.
Asante kwa kujali....
Mbona hujavaa uniform lindoniNipo ....
Mm nimejua unalinda jukwaa la jf garage leosubiri betri izime kabisa ss




Nilichungulia tuu, kwema hapo?Umewahi lindo hautuiti
Chagua silaha kirungu na ngao , fimbo au bunduki tu.
Bishara,uchumi na ujasiriamali hili ni soko tuKkoo,mlimani au soko gani ?![]()



Karibu
Kwema kabisaNilichungulia tuu, kwema hapo?
Hataki kufanya uharifu ilaanaweza piga deal tigo akaondoka na 500k 400k kwa masaa tu.Duuh huyo hatari,ahack Bank basi apate mitonyo