chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
NililalaHahaha chiquititta kalala sijui maan kapotea ghafla
NililalaHahaha chiquititta kalala sijui maan kapotea ghafla
Series wapi nilikuwa naotaItakua.
Au tuchukulie anafanya mambo yake, anaangalia series 😀 😀 😀 😀
HuagiiiiNililala
Umewahi lindo hautuiti
nmeona balaa la trumpMuda wa kukaa kwenye foleni huu....,..kwaajili ya kuingia lindo kuanzia saa 0000......saizi ni saa 2337......
Watu hata kwenye maji wanalala mkuuUsingizi una heshima basi,
Nilijikuta tu nimelala
Senate anawashinda nimesoma articles nyingi leo kule atasurvivenmeona balaa la trump
Watakua wanamlea tu sema nmeona barua ya spika ya senate inafurahisha kweliSenate anawashinda nimesoma articles nyingi leo kule atasurvive
2356Usiku ndio huu
Clinton nayeye alifanyiwa hivi ila kwenye senate akawashindaWatakua wanamlea tu sema nmeona barua ya spika ya senate inafurahisha kweli
Mambo.. Naona umeniwahi lindoni. Hope uko powa hapo ulipo0002
Da'Vinci sijui yuko wap leo