JamiiForums Usiku wa manane
Alikaa central siku 3 anambia ww ndio umefanya hv kakana ajakubali kuna siku alikuwa anashindana na mjapan ni macode tu hapo hawa ndio maharamia niliowashuhudia na maajabu yao kwa mahacker wengine hao wanajimwambafy tu sijaona maajabu yao.
Kuna yule dogo wa autralia (?) Alipiga code kuondoa filters za porn sites zilizowekwa na serikali kwa mamilioni ya hela within 24hr
 
Back
Top Bottom