Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,786
- 45,266
Ngoja niburudike nazoS.o.s, mama mia, take a chance,super trouper, money money, i have a dream na dancing queen ndo zinanibamba sana
Ngoja niburudike nazoS.o.s, mama mia, take a chance,super trouper, money money, i have a dream na dancing queen ndo zinanibamba sana
Ndiyo mkuu aljazeeraUnaskiliza wap au aljazeera![]()
Mungu ni mwema🙏🙏🙏Swalama kabisaa sjui ulipo
umeamka
Salama hapo mkuu?Yeah
Bwana nlikiepo sema nafanya mambo yangu nikipakumbuka narudi mpaka alfajiri saa05 ndo nikatoka kabisaAmani, siku imeendaje huko?
Naona jana ulipata usingizi, sikukuoja hapa.
Salama kabisa mkuuSalama hapo mkuu?
Kweli hawo jamaa mi mwenywe nimeamza kuwa kataaHapana pentatonix si kundi la juzi tu na wapo wa4 sikuhizi hawanivutii kama zamani sijui wamekuja kuaje na kuabdili members pia kuna fanya mvuro wa group upungue
Ahaaa, basi poa.Bwana nlikiepo sema nafanya mambo yangu nikipakumbuka narudi mpaka alfajiri saa05 ndo nikatoka kabisa
Salama za kwakoYeah kweupe Pe u hali Gani ?
Haaha nmekumbuka nililala saa0200 nikaamka saa04 kasoro hahahahahaAhaaa, basi poa.
Mambo gani hayo, au unasoma?![]()
Salama za kwako
Sisi tutajuaje sasa.Haaha nmekumbuka nililala saa0200 nikaamka saa04 kasoro hahahahaha
Nisome wapi bwana
Hahaha kama mitch grassi si keshajibadil muonekano hata kabla haujaluiza unajua huyu ni gayKweli hawo jamaa mi mwenywe nimeamza kuwa kataa
Net sina si ulisema utaniletea zile za ufadhiliVyema hapo vipi usalama upo na neti umekumbuka kushusha


Hapo labda kidogo hahaSisi tutajuaje sasa.
Basi tuchukulie ulikua unaangalia series![]()
Game nimeona kama imepoteza mvuto kiasi,japo Madrid wangekuwa makini1st half wangepata hata 2 goals,japo barca nawao walipata chance ile pasi messi kwa Alba
Net sina si ulisema utaniletea zile za ufadhili![]()
Ewaaa leta vya pale chama usisahau pilipiliNikirudi Leo nitakuletea mishikaki na ndizi basi au unasemaje