simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Amini mkuu.. ila usifuate mambo yao wale maana hukawii kujiita sangoma[emoji3][emoji3][emoji3]igweeee....mi siyo soja mkuu ila hiki ni kijiwe changu bora kabisa kabla ya kulala.....God has done much....ndiyo maana ya jina hilo kwa Igbo language mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app