mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,455
- 36,449
Ndo maana unakunywa chache,
Manake raha ya kunywa muwe wengi tena msio wavivu ndo starehe inakuwa bomba
Mimi ni kama wewe wkend kama hivi ndo najipumzishaHata hivyo tu nimepunguza sana, nakunywa weekend hadi weekend.
Kwa hiyo nakuwa najichunga tu ili nisinywe katikati kwa sababu ya nature ya kazi na watu naofanya nao kazi.
Mida hii kuonekana huku kunaashiria mambo yetu ya ndoa hayako sawaNipo sana mkuu
Nilitekwa na Equation x huko mtaa wa saba
Mimi ni kama wewe wkend kama hivi ndo najipumzisha
Tuko safari za kikazi nje ya makazi yetu bhanaMida hii kuonekana huku kunaashiria mambo yetu ya ndoa hayako sawa
hahahahahahah, ngoja tusubirie mwisho wako.Nipo sana mkuu
Nilitekwa na Equation x huko mtaa wa saba
ha ha ha haTuko safari za kikazi nje ya makazi yetu bhana
Hahahaaahahahahahahah, ngoja tusubirie mwisho wako.
AbsolutelyLooking ahead for a good one.
Looking ahead for a good one.
Hivi vingereza ndio vile vya pombe au 😀 😀 😀 😀 ?Absolutely
Hivi vingereza ndio vile vya pombe au 😀 😀 😀 😀 ?
Nawatania wakuu.
Haya mkuu,Ni vya akili za usiku lindoni.
Haya mkuu,
Nikasema usikute mvinyo umeanza kufukua mafile ya kingereza 😀 😀 😀
Bado nasherekea ujio wa ndege mpya mkuu
Mkuu umezima!!!!???hahahahahahah, ngoja tusubirie mwisho wako.