JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23] ulijuaje sasa unasema ujawahi kuziona movie zao?
Enzi zile utt za kanumba unakuta wenzio washafata ma cd wanatoa cable wanaweka cd[emoji23][emoji23][emoji23] si unajua kabla ya ving'amuzi kulikua na cable?!
 
Bongo movie sijawahi angalia pakuzidownload hakuna na sizielewi kama nollywood tu

Vp ni nzuri?!
Naweza kusema angalau pale wamejitahidi sana hasa kwenye sound sio kama zile unasikia upepo upepo na wameweka sound trucks za kueleweka, alaf mazingira na reality like wameonesha nyumba toka inaanza kujengwa na baadae ikabomolewa
 
Tatizo ambalo mm Bongo movie wananikela wanashindwa kumalizia story mwisho tu ndio tatizo lao.
 
Screenshot_20191213-015436.png
 
Naweza kusema angalau pale wamejitahidi sana hasa kwenye sound sio kama zile unasikia upepo upepo na wameweka sound trucks za kueleweka, alaf mazingira na reality like wameonesha nyumba toka inaanza kujengwa na baadae ikabomolewa
Inapatikana wapi tuisake
 
Back
Top Bottom