Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Itakuepo?!![]()
![]()
Youtube vipi
Itakuepo?!![]()
![]()
Youtube vipi
Najua......As in lindoni nmemaanisha
Flash sindo mpaka umpate mwenye nayo akupe kama hakuna?! Unaenda kukodi ww ununue yann ssCD hazina ishu saiz ni mwendo wa Flash tu tunakimbizana na Tec.


Tatizo ipo kwenye web kubwa mm hata kudownload movie naangalia rating kwanza.Rating sio ishu mkuu.
Ohh okyNajua......
Anyway, kwa vile tupo wengi zamu yangu karibu itakwisha niwaachie wenzangu
Uwe macho tusije tukaibiwa aiseeeOhh oky
Labda HollywoodCD hazina ishu saiz ni mwendo wa Flash tu tunakimbizana na Tec.
Ushawahi kutana na rating kubwa halagu movie huielew?!Tatizo ipo kwenye web kubwa mm hata kudownload movie naangalia rating kwanza.
Usiniambie ww hauna flash 😂😂😂Galsh sindo mpaka umpate mwenye nayo akupe kama hakuna?! Unaenda kukodi ww ununue yann ss![]()
Usijal nipo imara na kirungu changuUwe macho tusije tukaibiwa aiseee
Zingine promo kuuubwa kuliko movie enyeweUshawahi kutana na rating kubwa halagu mo ie huielew?!
Nmekutana na Ab astar na the irish man dah mpaka nikajionea huruma movie nyingi rating kubwa ila ndani zinatia huruma
Sijawa kutana na hiyo dhahama pole sana kwakupoteza GB zako 😂😂😂Ushawahi kutana na rating kubwa halagu mo ie huielew?!
Nmekutana na Ab astar na the irish man dah mpaka nikajionea huruma movie nyingi rating kubwa ila ndani zinatia huruma
Ah babu huu utani wa ngumiUsiniambie ww hauna flash![]()
Zingine promo kuuubwa kuliko movie enyewe


hapo ss umenikumbusha machungu mengi mno kama shazam dah jamanAaah sasa ww unaifadhia wapi vitu au ww sio ombaomba kama mm 😂😂 ukikuta movie unanyonya kwa mtu prog and some stuff au unatumia external ww?Ah babu huu utani wa ngumi
Unalala mzee?Okey.
Kila la kheri nyote
Usilogwe ukajishaua unafata rating kuna mda utayavaaSijawa kutana na hiyo dhahama pole sana kwakupoteza GB zako![]()
Naenda na external HDAaah sasa ww unaifadhia wapi vitu au ww sio ombaomba kama mmukikuta movie unanyonya kwa mtu prog and some stuff au unatumia external ww?
Nashukuru ww niwitness ushatufundisha kitu.Usilogwe ukajishaua unafata rating kuna mda utayavaa