JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Jamani jinamizi limeniingia mwilini ,kila nikitaka kuamka naona kitu kimenigandamiza kwa nguvu ,kinataka kuniingilia nikaanza kukemea ndo kimeniacha muda huu ,na Mr hayupo mpaka nimeogopa hii hali huwa inawakumba ?
 
Back
Top Bottom